Natoa huduma za kuingiza maji majumbani, kusambaza mabomba ya maji ndani na nje, kuunda mfumo wa tank na kusambaza maji, kutumia maji ya visima kama chanzo cha kusambazia maji ndani na nje ya nyumba, pia ushauri na kutoa gharama za vifaa baada ya tathmini kulingana na eneo lako. Na mengine yanayohusu matumizi ya mabomba.