Kiwanja cha barabarani kinauzwa.
kiwanja kipo pembezoni mwa barabara ya mwanza shinyanga maeneo ya nyang’omango jijini mwanza, sehemu nzuri sana kwa kujenga godawni, kiwanda, yadi ya magari na mabasi, kituo cha mafuta na hata supamaketi.
kiwanja kina ukubwa wa 70*90*65 meta kinazidi kidogo hekari moja, kina barabara kuu ya rami ya mwanza shinyanga upande wa mbele, na ubavuni kuna barabara inayoenda chuo cha tia, upande wa kulia kuna mlima mzuri wenye mawe ya kutosha kujenga msingi na fensi ya jingo lote.
pia kuna nyumba ndogo mbili za matope.
bei ya kuuza ni 150,000,000/= ( milioni 150) au $63,000/=
kwa mazungumzo ya bei na kutembelea nyumba wasiliana nami
Square meters: 6300