Nauza nyumba iliyopo block g, plot no 2022 mwanyamala opposite na orexy. ni nyumba yenye vyumba sita vya kulala,ina frem nne za biashara.
nyumba ina hati. ukubwa wa kiwanja ni sqm 300.
bei ya kuuza ni milioni mia moja na hamsini (150milion) maongezi yapo.
karibuni. kwa maelezo zaidi na kupelekwa kuiona nyumba piga simu