ISUZU ELF 3-TON kama mpya. Inapiga tipa na pia imewekewa chuma kwenye bodi. Ilikuwa inatumika na mwenyewe kama gari binafsi ya kazi za kubebea majani ya ngombe. Haina shida yoyote. Inafaa kwa kazi za ujenzi, mchanga, shamba, kubebea majani, na hata kuuzia maji