• Nyumba Yenye Fensi Tayari Inauzwa Morogoro Manispaa
More 8 photos "Nyumba Yenye Fensi Tayari Inauzwa Morogoro Manispaa"

Nyumba Yenye Fensi Tayari Inauzwa Morogoro Manispaa

Posted May 1
Morogoro Urban, Morogoro Region, Tanzania
189 views
KIHONDA STREET
Property Address
ANTONY MBWAMBO
Estate Name
House
Property Type
Newly Built
Condition
3
Bedrooms
2
Bathrooms
Semi-Furnished
Furnishing
700
sqm
Property size
24 Hours Electricity, Kitchen Cabinets, Dining Area, Dishwasher
Facilities
Yes
Parking Space
Nyumba inauzwa ipo mkundi sheli kituo baada ya mizani ya zamani mita 800 kutoka barabara ya lami, ina vyumba vitatu vya kulala, master, choo cha ndani cha public, pia ina choo cha nje cha public, ina sebule kubwa na dining, jiko ndani, ina uzio mkubwa matofali ya blok umekamilika kote bado finishing tu, ina uwanja mkubwa uliobaki kama inavyoonekana, inauzwa 26 milion, njoo ukutane na mwenyewe mzungumze,
 • Nyumba Yenye Fensi Tayari Inauzwa Morogoro Manispaa
 • Nyumba Yenye Fensi Tayari Inauzwa Morogoro Manispaa
 • Nyumba Yenye Fensi Tayari Inauzwa Morogoro Manispaa
 • Nyumba Yenye Fensi Tayari Inauzwa Morogoro Manispaa
 • Nyumba Yenye Fensi Tayari Inauzwa Morogoro Manispaa
 • Nyumba Yenye Fensi Tayari Inauzwa Morogoro Manispaa
 • Nyumba Yenye Fensi Tayari Inauzwa Morogoro Manispaa
 • TSh 26,000,000
  Last seen 1 day ago
  Morogoro Region, Morogoro Urban, Region 2291 Morogoro
  0652644084
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

  Similar adverts