• Nyumba Nzuri Morogoro Mjini
More 10 photos "Nyumba Nzuri Morogoro Mjini"

Nyumba Nzuri Morogoro Mjini

Posted today, 10:44
Morogoro Urban, Morogoro Region, Tanzania
235 views
House
Property Type
Newly Built
Condition
3
Bedrooms
2
Bathrooms
Semi-Furnished
Furnishing
Yes
Parking Space
Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa mkundi morogoro. Kwa bei ndogo kulingana na location, ipo karibu na barabara kuu ya lami morogoro to dodoma mita 400 imeingizwa umeme tayari, ina vyumba vitatu vya kulala na kimoja ni master, ina public toilet kwa ndani, sebule dining na jiko, pia ina jiko la nje, uwanja wake ni 30 kwa 20, sehemu iliyobaki ni kubwa sana, system za vyoo zimekamilika, inauzwa kwa milion 20,((mazungumzo yapo)) unaweza ukatanguliza milion 15 kwanza zinazobaki tutakubaliana namna ya kumaliza{phone=0652644084}
 • Nyumba Nzuri Morogoro Mjini
 • Nyumba Nzuri Morogoro Mjini
 • Nyumba Nzuri Morogoro Mjini
 • Nyumba Nzuri Morogoro Mjini
 • Nyumba Nzuri Morogoro Mjini
 • Nyumba Nzuri Morogoro Mjini
 • Nyumba Nzuri Morogoro Mjini
 • Nyumba Nzuri Morogoro Mjini
 • Nyumba Nzuri Morogoro Mjini
 • TSh 20,000,000
  Last seen 6 hrs ago
  Morogoro Region, Morogoro Urban, Region 2291 Morogoro
  0652644084
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

  Similar adverts