Nyumba Kubwa Sana Inauzwa

Posted May 1
Morogoro Urban, Morogoro Region, Tanzania
368 views
kihonda
Property Address
sokoni real estate
Estate Name
House
Property Type
Newly Built
Condition
4
Bedrooms
4
Bathrooms
Semi-Furnished
Furnishing
900
sqm
Property size
24 Hours Electricity
Facilities
Yes
Parking Space
Hii ni bahati, mwenyewe ana shida kubwa, anauza nyumba kubwa sana. ina vyumba vinne na vyote ni masta. sebule kubwa sana mwenyewe utashangaa, msingi umepanda juu vizuri sana. ni ya kujaza kifusi tu na madirisha. kiwanja kina ukubwa wa 20 kwa 47.kimepimwa na kina offer, hati miliki utachukua kwa jina lako, sehemu ilipo pamejengeka kuliko sehemu yoyote kihonda. inauzwa kwa milion 35 tu, wasiliana kwa
 • Nyumba Kubwa Sana Inauzwa
 • Nyumba Kubwa Sana Inauzwa
 • Nyumba Kubwa Sana Inauzwa
 • TSh 35,000,000
  Last seen 1 day ago
  Morogoro Region, Morogoro Urban, Region 2291 Morogoro
  0652644084
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

  Similar adverts