• Nyumba Inauzwa Kihonda Kilimanjaro Morogoro
More 8 photos "Nyumba Inauzwa Kihonda Kilimanjaro Morogoro"

Nyumba Inauzwa Kihonda Kilimanjaro Morogoro

Posted Mar 31
Morogoro Urban, Morogoro Region, Tanzania
181 views
kihonda
Property Address
moro real estate
Estate Name
House
Property Type
Newly Built
Condition
4
Bedrooms
3
Bathrooms
Furnished
Furnishing
800
sqm
Property size
Kitchen Shelf
Facilities
Yes
Parking Space
Nyumba inauzwa ipo kihonda kilimanjaro morogoro mjini
nyumba ipo kihonda kilinanjaro
nyumba ina vyumba vinne vya kulala na viwili ni master, sebule yenye dining na sitting room, jiko, store na public toilet.nyumba ipo ndani ya fence.
nyumba ipo kwenye kiwanja kilichopimwa na kina ukubwa wa squre mita 800.
nyumba ipo mkono wa kulia wa barabara ya kwenda dodoma.
ipo kilometa mbili kutoka barabara ya kwenda dodoma.
nyumba ipo jirani na station ya tren ya mwendokasi.ipo mita 600 kutoka station.
pia nyumba ipo jirani na huduma za jamii kama shule na hospitali.
bei ni milioni arubaini na tano(45, 000, 000)
kwa mawasiliano zaidi /
 • Nyumba Inauzwa Kihonda Kilimanjaro Morogoro
 • Nyumba Inauzwa Kihonda Kilimanjaro Morogoro
 • Nyumba Inauzwa Kihonda Kilimanjaro Morogoro
 • Nyumba Inauzwa Kihonda Kilimanjaro Morogoro
 • Nyumba Inauzwa Kihonda Kilimanjaro Morogoro
 • Nyumba Inauzwa Kihonda Kilimanjaro Morogoro
 • Nyumba Inauzwa Kihonda Kilimanjaro Morogoro
 • TSh 45,000,000
  Last seen 1 month ago
  0752481398
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

  Similar adverts