tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Food, Agriculture & Farming
  3. Seeds & Fertilizers
Morogoro, Morogoro Urban, 1 day ago
49 views

Miche Ya Papai(Carina F1)

+1
1
Other
Type
Calina/calfornia papaya ni aina ya mbegu ya papai ambayo huanza kuzaa matunda kuanzia miezi 6 mpaka 8 baada ya kupanda matunda yake huwa ni marefu na membamba pia inavumilia ukame na magonjwa na inasafirishika kiurahisi karibu tukupatie miche hii kwa bei ya punguzo ya tsh 2,500/= tu badala ya tsh 3,000/= kwa wale wa morogoro mjini unaweza ukafika kitaluni kwetu , tunapatikana morogoro mjini karibu na nashera hotel kwa wale wa mikoani kuweza kupata huduma zetu wasiliana nasi kwa namba068XXXXXXX
Show contact
Miche Ya Papai(Carina F1)Miche Ya Papai(Carina F1)
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • First, check what you're going to buy to make sure it's what you need
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif