* karibu ujipatie Miche Bora ya embe za kisasa iliyofanyiwa grafting, huanza kuzaa kuanzia miaka 2 Hadi 3
* Aina zinapatikana ni
#Apple
#Tommy
#Red indian
#Dodo
#Kent
#Keit
#Alfonso nk.
* Tunapatikana morogoro mjini karibu na Nashera hotel
* Mikoani tunatuma mzigo kwa njia ya basi
* Wasiliana nasi kwa namba068XXXXXXX