Shamba linauzwa vikindu ( mkuranga)
loc : vikindu
eneo : heka 35
umiliki : hati ( title dead)
yaliomo ndani ya shamba ni kama ifatavyo.tunauza eneo lenye hekali 35, lililopo vikindu mkuranga, eneo limeandaliwa kisasa kabisa na limeendelezwa kama ifuatavyo;
limepandwa ndimu heka 6,
mahindi heka 4, pation1.5,
bonde la mpunga heka 8,
majani ya ng`ombe heka 2,
papai heka 4,
eneo la wazi heka 10. *mali zingingine zilizopo* nyumba kubwa3,
nyumba ya wafanyakazi 1,
nyumba yenye room 3,
godauni kubwa na la kisasa, nyumba room 1 na choo. tank kubwa lita laki 1, *mfumo wa maji* tank za plastic =6 lita 5000 uko kwenye minara yake,
mabwawa ya samaki 10 yanasamaki 10,000. kisima chenye urefu wa mita 100 (over flow) muda wote hakikauki,
pamp ya kisima hz power 5,
wanyama waliopo
mbuzi 10
bata 40
ng'ombe 2 shambani pia kumepandwa nazi 300= kuna pamp 3, za kumwagilia.
mbwa 7
Square meters: 4900