Nyumba hii ina uzwa bei poa sana ipo mikocheni a ina vyumba 7 vya kulala master 2 sitting room kitchen public toilet ndani ya fensi ina hati ya leseni ya makazi, ina faa kwa kuifanyia biashara au kwa kuishi,kibiashara, ukinunua upangishe uweze kuongeza kipato chako mikocheni ni centre karibu na mjini.vile vile tunazo nyumba za aina 2 kuvunja na kujenga nyumba mpya za kisasa pia za kununua ukafanye marekebisho ukaishi mwenyewe, ili kupata nyumba za uhakika bei nafuu ambazo hazina migogoro yoyote bado zipo kwa maelezo zaidi nipigie simu. upangishe uweze kuongeza kipato chako mikocheni ni centre karibu na mjini vile vile tuna nyumba za kuvunja na kujenga nyumba mpya za kisasa pia kuna za kununua ukafanya marekebisho ukaishi mwenyewe, ili kupata nyumba za uhakika bei nafuu ambazo hazina migogoro yoyote bado zipo kwa maelezo zaidi nipigie.