*Nyumba inauzwa Mikocheni B*
*Location* Nyumba ipo kwenye Barabara ya lami ya mtaa.
-Nyumba ina vyumba 6 vya kulala, dining room, sitting room,na public toilet.
*Servant Quarter* Chumba, Sebule na public toilet.
-Plot size Sqm 1,100
-Document: Title Deed
*Bei $ 400,000 maongezi yapo*