Nyumba inauzwa
mkoa -dar-es-salaam-tz
wilaya - kinondoni
mahali - mbweni mpiji
________
nyumba inauzwa kama ilivyo
________
bei - mil 290
maongezi yap0
ukubwa kiwanja - sqm 710
umiliki - ina hati safi
________
nyumba kali sana inauzwa
________
sifa za nyumba
________
vyumba vitatu vikubwa vya kulala
sebule kubwa
jiko kubwa
choo public
parking ya kutosha
_______