USIENDE CHUO KABLA HUJAFAHAMU HAYA ni mwongozo unaokufundisha mambo 20 muhimu ya kujua kabla ya kuanza chuo kikuu. Utajifunza jinsi ya kujiandaa kwa masomo, kusimamia muda na fedha, kuendana na maisha ya chuoni, na kujenga msingi wa mafanikio ya baadaye. Unafaa kwa wanafunzi wapya wa vyuo, wanafunzi wa Kidato cha Sita, pamoja na wazazi wanaotaka kuwaandaa watoto wao kwa maisha ya chuo. Pata nakala yako leo na anza safari ya chuo ukiwa umejiandaa vizuri.