Electric Supply, Water Supply, Domestic Sewage, Gas Supply, Car Parking
Facilities
Yes
Service Charge
30000
Survey Fee
30000
Development Fee
30000
Legal Fee
30000
Agent Fee
Kiwanja kizuri sana kwa makazi bora kwa makazi bora na apartment za wapangaji
■■Kiwanja kipo mbezi mwisho njia ya mpigi magoe kituo beda park
■■ukubwa wa kiwanja sqm 927
■■huduma zote za kijamii zipo kama umeme na maji yapo site
■■barabara inapitika haina shida
■■mitaa mizuri ya kishua
■■kwenda kuona elfu 30
■■karibu sana