Nyumba inauzwa nyumba ipo mbezi center
nyumba ni ya vyumba v4 sebule master 3
nje ipo vyumba 9
ni nyumba ya biashara ya kupangisha
chumba elfu 50 na master ni laki moja
eneo ni sqm 400
bei mil 65
maongezi yapo
nyumba ipo miter
500
toka
moro road
karibu mteja