#apartment for rent at mbezi kibanda cha mkaa
.
.
Hii nyumba ina vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master, sebule,dinning, jiko na choo cha familia ila pia kuna jiko, choo na bafu kwa njee
.
.
Kwenye fensi moja zipo nyumba 3 na hii moja ndio ipo wazi
.
.
Kodi ni x6
.
.
Kila apartment inajitegemea kwa kila kitu zipo mbezi kibanda cha mkaa kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 12 tuu kwa miguu