Apartments kali mno wahi chap
inapangishwa mbezi mwisho njia ya mpigi magohe umbali km 2 kutoka mbez mwisho usafiri bajaji daladala zipo
kodi 80#
chumba master kubwa
na sebule kubwa
hamna fensi nyumba mpya
maji ya dawasa safi
ukishuka dk 5 tu
tiles gypsum alluminium
kodi 80x6
wahi haraka
kuona elf 15
ukilipia mwz 1 dalali