*Apartment zinapangishwa zipo madale police kwa mbele kidogo.*
- Mita 800 kutoka Lami
- Zote ni one bedroom (chumba, sebule, jiko, choo)
-kuna fully furnished na semi furnished.
- fully furnished unaweza kulipa 350,000 kwa wiki.
- Na 1,000,000 kwa mwezi
- Semi furnished ni 450,000 kwa mwezi
- Semi furnished ndani ina jiko la umeme plate nne, gas, full AC vyumbani, sebuleni, balcony nzuri. Nk.
- Apartment imezungukwa na mazingira mazuri sana. Kuna upepo wa kutosha, miti mizuri imezunguka kwa nje bila kusahau kuna utulivu wa kutosha.