Set kamili ya juu + chini. Ukivaa hii unatokelezea!
RANGI ZILIZOPO:
• Grey na Collar Nyeusi
• Cream / Beige na Collar Brown
SIFA ZAKE:
• Juu ni ya mikono mirefu na collar ya Polo - style kali sana
• Kitambaa kizito, laini na cha joto - Quality Premium
• Suruali ni ya mlegezo, ina kamba ya kufunga na mifuko
• Inakaa smart - inafaa kwa kutoka, safari, na casual
• Inavalika na sneakers nyeupe kama kwenye picha
SIZE ZILIZOPO:
M, L, XL, XXL