Set kali ya kiume, simple lakini inatokelezea sana!
RANGI: Black pekee kama kwenye picha
SIFA ZAKE:
• Juu ni Sleeveless Vest (bila mikono) - inafaa sana kwa joto na kwa gym / kutoka
• Kitambaa laini, kizito kidogo na hakichubuki
• Suruali ni ya mlegezo, ndefu, ina kamba na mifuko - inakaa smart sana
• Set nzima ni Black - inakaa classy ukivaa na sneakers nyeupe
• Inafaa kwa gym, kutembea, na casual
SIZE ZILIZOPO:
M, L, XL, XXL