Bag kali sana kwa wanaume wa class. Imetoka fresh, rangi zote 6 zipo.
RANGI ZILIZOPO:
• Black
• Brown / Coffee
• Green
• Navy Blue
• Grey
• Purple
SIFA ZAKE:
• Leather nzuri na imara, haichubuki haraka
• Ndani ni kubwa - inabeba simu, wallet, power bank, passport, na vitu vingine
• Ina zip kubwa na zip ya siri ndani kwa usalama
• Strap ndefu inarekebishika - unaweza vaa ubavuni au mgongoni
• Lightweight, inakaa smart na official na casual
Inafaa kwa: Kazini, Chuo, Safari, Church, na kutoka kila siku.