Kofia za kisasa zenye muonekano wa kipekee na logo ya C iliyoshonwa mbele. Zimetengenezwa kwa kitambaa kizuri, laini na kinachodumu.
Inapatikana kwa rangi 5 nzuri:
• Nyeusi / Black
• Brown Houndstooth
• Leopard / Chui
• Green Check
• Red Plaid
Kitambaa kizuri na imara
Inakaa vizuri kichwani - Free Size / Adjustable
Inafaa kwa wanaume na wanawake
Inafaa kwa kuvaa kila siku, outing, photoshoot, streetwear
Stock ipo, karibu sana!
Delivery tunafanya popote.