Kofia za uzi (Beanie) zenye design ya Spiderman - macho makubwa na utando wa buibui. Laini, nzito na zenye joto. Watoto na watu wazima wote wanazipenda!
Inapatikana kwa rangi 4:
• Blue / Bluu
• Black / Nyeusi
• Red / Nyekundu
• Grey / Kijivu
Kitambaa cha uzi kizuri na chenye joto
Free Size - inatosha kila mtu
Inafaa kwa watoto na watu wazima
Inafaa kwa baridi, kila siku, outing, photoshoot, streetwear
Stock ipo, karibu sana!
Delivery tunafanya popote.