Ad is archive
find similar ads in Houses & Apartments For Sale in Mbeya Rural

• Archive: Nyumba Inauzwa Mbeya Songwe Airport

Archive: Nyumba Inauzwa Mbeya Songwe Airport

Mbeya Rural, Mbeya Region, Tanzania
Songwe Viwandani
Property Address
House
Property Type
Fairly Used
Condition
7
Bedrooms
1
Bathrooms
Unfurnished
Furnishing
675
sqm
Property size
Yes
Parking Space
Archive: *top up ukiwa na Toyota wish inawezekana
Tunabadilishana na Toyota Wish na pesa kidogo.
nyumba inauzwa iko songwe viwandani karibu na songwe Airport.
Ina kiwanja kikubwa na kimepimwa. Ukubwa wa Sq metre 675.
Vyumba vitano nyumba vya kulala, sebule., dining room na jiko kwenye nyumba kubwa.
Na mabanda mawili yenye chumba na sebule kila moja na chumba kimoja kikubwa cha kufugia.
Imezungukwa na wigo kwenye mpaka wa kiwanja.
Ina umeme, na maji hayako mbali kama inahitajika kuvuta.
Imepakana na barabara za mitaa pande mbili za nyumba.
Inafaa kwa matumizi ya kuishu, frem za biashara au kupangisha.
Iko kwenye hali angalau. Inahitaji marekebisho.
Bei maelewano ukishaona mjengo.
Hatuwezi kushindwana. Inahitajika mteja serious mwenye uwezo wa kufanikisha kununua.

• CLOSED

G Machine

Last seen 1 hour ago

Similar adverts