Arpeggiator, Batteries, Display, Playback, Power Adapter, Recording, Speakers
Keyboard Features
Brand New
Condition
Vitu vilivyomo kwenye hii "Full Package":
• Kibodi ya Yamaha PSR-E373: Ina funguo 61 zinazotambua mguso (touch-sensitive keys), sauti 622 za vyombo vya muziki zenye ubora wa hali ya juu, na programu nzuri sana za kujifunzia. Inakuja na kiegemezo chake cha kuwekea noti/karatasi za nyimbo.
• Adapta Halisi ya Yamaha (Original AC Power Adapter): Waya halisi wa umeme kutoka kiwandani kwa ajili ya kibodi hii (sio zile feki za bei rahisi).
• Sustain Pedal ya Hali ya Juu (Premium): Kwa ajili ya kuleta mguso na mlio halisi wa Piano Kuu (Grand Piano).
• Benchi la Kibodi Linalorekebishwa (Adjustable Bench): Kiti imara chenye sponji laini na ya kustarehesha.
• Stendi ya Kibodi ya Mtindo wa X (X-Style Stand): kiti, sustain pedal, adapter original,begi
Piga simu au WhatsApp076XXXXXXX