MAC STORE – SOKO LA JUMLA NA REJAREJA LA VYOMBO VYA NDANI!
Je, wewe ni mfanyabiashara mdogo unayetafuta sehemu ya kupata vyombo vya ndani kwa bei nzuri ili kuongeza faida yako? Au unamiliki HOTELI, RESTAURANT, LODGE au CAFÉ na unahitaji vyombo bora kwa matumizi ya biashara yako?
MAC STORE NI JIBU LAKO!
Tunawakaribisha:
Wafanyabiashara wadogo wanaotaka kuchukua mzigo kwa jumla na kuuza kwenye maduka yao.
Wamiliki wa hoteli na lodge.
Wamiliki wa restaurant na café.
Wafanyabiashara wanaotaka kuanza biashara ya vyombo vya ndani.
Vyombo vya kisasa na vya kuvutia.
Nafasi ya kuchukua mzigo kwa jumla.
Huduma kwa wateja wa rejareja na jumla.
Usinunue kwa matumizi pekee, nunua pia kwa ajili ya biashara yako!