Vitenge vya pamba vya ubora wa juu (Quality Wax Prints). Havipauki, ni laini sana mwilini na vina rangi za kuvutia kwa ajili ya mshono wowote. Vipimo ni yeard 6 kamili. Weka oda yako leo tukuhudumie! Kwanaelezo zaidi Unaweza kuwasiliana nasi kwanamba + inapatikana sehemu zote whatsapp na kawaida.