Hello hello hello watanzania.
leo tunawaletea mradi safi kabisa mpya na uko moto. karibuni katika viwanja vya wazo hill vilivyo karibu kabisa na barabara, umbali wa takriban km 2 tu!
maeneo ni makubwa, unaweza kununua kwaajili ya biashara ama makazi. bei ni kwa kila square meter.
upepo mzuri, maji, umeme na njia zinapitika vema tu.
kwa wateja wetu wote wa cash na installments.
ofisi zetu zipo goba mnadani, karibu kabisa na pharmacy ya gwanzuu
Square meters: 600