Nyumba inauzwa ipo mbagala mission. ina 3 bedrooms (1 master room), sitting room, dining room, 2 washroom and kitchen. pia kuna 3 rooms nje za wapangaji na reservation ardhi. nyumba ipo karbu na barabara.
Nyumba inauzwa ipo sumbawanga izia,mwendo wa dakika kumi kutoka soko la sabasaba
urefu wa kiwanja22m
upana19m
plot no 97 izia
inavyumba vyumba vitatu kimoja ni master,sebule,dining room,jiko,store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne vya frame,maji na umeme vipo,
bei ni malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum.haina madalali
mawasiliano
Nyumba inavyumba 4 master, sitting room, dining room, store, kitchen, public toilet, ukubwa wa eneo ni sqm 1800 eneo ni kubwa sana na mahali ilipo waweza wekeza hapartimenti za wapangaji, hotel, hospital, nk nyumba ipo mahina halayans
Nyumba iko umbali wa dk 10 kutoka stand kuu ya mabasi, ina vyumba vitatu vya kulala ambapo kimoja ni master ni vikubwa mno... ina jiko,dinning na seble kubwa pia... nyumba haina umeme ndani ila nguzo ilishavutwa mpaka juu ya paa inahitaji wiring mpya... haina siling board wala tiles wala rangi... maji ni ya kuvuta ila ypo meter 2 kutoka kwenye nyumba
Iko buhongwa orimpic inanyumba vitatu vyote master pia kuna nyumba nyingine ya chumba na sebule pia na single vilevile kuna nyingine inayotumika kama banda la kuku, store na jiko hatimiliki ipo
Nyumba inauzwa iko buhongwa senta inavyumba vya kulala vinne viwili master viwili public toilet ina store sitting room dinning room kitchen ukubwa wa eneo ni sqm 1800 hatimiliki ipo tena nzuri sana ya makazi na biashara nyumba ni kubwa na kiwanja chake ni kikubwa na majilani wake ni wazito tuu kwa kifupi nyumba ni nzuri na iko pazuri sana
Nyumba inavyumba vya kulala vinne vitatu master kimoja public toilet pia nyumba inafremu za maduka mbili nyumba inavyumba vikubwa sana.
njoo ofisini ukapelekwe saiti ukaonyeshwe nyumba na tukafanye biashara.gharama ya kupelekwa kwenye saiti/kuonyeshwa nyumba (savei) ni sh
Nyumba inauzwa ipo mbagala mission. ina 3 bedrooms (1 master room), sitting room, dining room, 2 washroom and kitchen. pia kuna 3 rooms nje za wapangaji na reservation ardhi. nyumba ipo karbu na barabara
Nyumba inauzwa iko buhongwa inavyumba vitatu sebule jiko stoo master ukubwa wa eneo ni SQM 900 imewekewa Vigae ndani kote madilisha ni vioo kote kiujumla nyumba ni nzuri umeme maji barabara Hadi mlangoni
Nyumba ina eneo kubwa,,zaidi ya nusu kiwanja kimebakia..
Kuna tofari kama elfu moja zimebaki..
Eneo lina minazi minne,,,,
Kuna kisima kirefu utatakiwa kufunga pump tu,,
Tiles kote,,
Gpsum kote,,,
Aluminum madirisha yoote,,,
Nyumba inauzwa
sqm : 400
loc : mbagala
umiliki : sales agreement,
-4 bedroom
-sitting room
-public toilet
-kitchen
umiliki serikali za mtaa
eneo zuri linafikika na huduma zote zipo
karibu
Nyumba ina vyumba vitano, viwili master bedroom, Kuna vyoo viwili vya nje,sebule,jiko, vyumba 2 vyengine vya nje,duka,genge la mabati,geti,banda la mbao la kuku na parking Kubwa, piya ipo Mita 100 na barabala ya Magali yakitunda banana
4 bedrooms/1master.
sitting room/dinning room
bathroom + toilet/ office
back yard/ parking space.
nyumba ipo mbeya mjini kila kitu tayari kasoro kufanya tu finishing na kuhamia. (haina dalali)
Nyumba inauzwa
million 28
zingatia imetangazwa na mimi: dalali.
Nyumba ipo kijichi karibu na kanisa la kkkt.
Haina mgogoro,,ipo barabarani panafaa kwa biashara kama unavyoona hapo.
Nyumba ina vyumba 4,,kimoja chumba na sebule,,choo public,,frem mbili za biashara,,nyumba ina hatimiliki