• Mahali: Chamazi
• Hali ya nyumba: Nzuri
• Hadhi ya kiwanja: Hakijapimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 400 sqm
• Nyaraka: Barua ya mauziano
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Nyumba ni self contained • vyumba viwili vya kawaida, viwili masta • sebule • jiko • stoo • washroom ya jumuiya • uzio • paving • maegesho ya gari • maji na umeme vipo
.
• Visit our listing to find more and different properties.
• If you can't get enough of our properties, send a request of your choice through our contacts