Je, unapanga kuanzisha kilimo cha parachichi kwa ajili ya biashara? Hass ni mojawapo ya aina maarufu katika soko la kimataifa kutokana na ubora wa matunda yake na mahitaji ya soko.
Sifa za Parachichi la Hass Ganda hubadilika kuwa zambarau iliyokolea hadi jeusi linapoiva. mafuta mengi na ladha nzuri. Lina ganda linalosaidia kulinda tunda wakati wa usafirishaji. Lina nafasi katika masoko ya ndani na ya kimataifa.
Chagua miche bora
Miche iliyopandikizwa kutoka chanzo kinachoaminika.
Miche yenye afya na mizizi imara.
Miche inayofaa hali ya hewa na udongo wa eneo lako.