Nyumba ina frame 4 za maduka , eneo limepakana na lami barabara ya handeni - korogwe, eneo lina ukubwa wa robo heka , eneo halina mgogoro wowote, karibuni
Nyumba inauzwa ipo mbagala mission. ina 3 bedrooms (1 master room), sitting room, dining room, 2 washroom and kitchen. pia kuna 3 rooms nje za wapangaji na reservation ardhi. nyumba ipo karbu na barabara
Nyumba ina eneo kubwa,,zaidi ya nusu kiwanja kimebakia..
Kuna tofari kama elfu moja zimebaki..
Eneo lina minazi minne,,,,
Kuna kisima kirefu utatakiwa kufunga pump tu,,
Tiles kote,,
Gpsum kote,,,
Aluminum madirisha yoote,,,
Bei milion 280
Ina vyumba vinne vya kulala vyumba viwili ni masters bedroom
Eneo square meter (1200)
Ina documents ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikishi ushafanyika Bado Hatti tu
Nyumba hii ina uzwa pamoja na vitu vyote vya ndani yani kila kitu ni chako
Nyumba ipo kigamboni muembe mtengu dakika (10) kwa miguu kutoka barabara kuu ya Rami
Nyumba inauzwa chapchap
sqm : 600
loc : chamazi
umiliki : sales agreement,
_________________________________________
call whatsapp &sms078*********
__________________________________________________________________
hii sio ya kuikosa,,,,,.........!!!!!! Piga simu ukague.... .
.
-4bedrooms 1self
-sitting room
-public toilet
-kitchen
umiliki serikali za mtaa
eneo zuri linafikika na huduma zote zipo
kupelekwa site elf 20
____________________________________________
mahitaji yako ya nyumba / vyumba/maeneo ya biashara ...Ya kupanga na kununua....Mashamba/viwanja/ magari nk .....Usisite wasiliana nasi haraka
mawasiliano
Nyumba inauzwa
ukubwa : sqm 128
umiliki : mikataba serikali ya mtaa ( pamerasimishwa)
loc: makoka, mtaa wa banebane karibu na kanisa la rc. Mita 100 toka barabarani
Call whatsapp &sms255*********
zingatia : kwa kuwasiliana nasi unakubali kuwa mwaminifu kwa makubaliano tutakayoyafanya.
vyumba vinne
sebule
dinning
choo na bafu viko nje
kupelekwa site elfu 20
mahitaji yako ya nyumba / vyumba/maeneo ya biashara ...Ya kupanga na kununua....Mashamba/viwanja/ magari nk .....Usisite wasiliana nasi haraka
Nyumba inauzwa
sqm : 400
loc : mbagala
umiliki : sales agreement,
-4 bedroom
-sitting room
-public toilet
-kitchen
umiliki serikali za mtaa
eneo zuri linafikika na huduma zote zipo
karibu
4 bedrooms/1master.
sitting room/dinning room
bathroom + toilet/ office
back yard/ parking space.
nyumba ipo mbeya mjini kila kitu tayari kasoro kufanya tu finishing na kuhamia. (haina dalali)
Nyumba inauzwa
million 28
zingatia imetangazwa na mimi: dalali.
Nyumba ipo kijichi karibu na kanisa la kkkt.
Haina mgogoro,,ipo barabarani panafaa kwa biashara kama unavyoona hapo.
Nyumba ina vyumba 4,,kimoja chumba na sebule,,choo public,,frem mbili za biashara,,nyumba ina hatimiliki
Nyumba iko boko carifonia
ina vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master b/room ina public toilet moja jiko sebule kubwa na dinning
maji ya dawasco umeme vyote vipo.
kiwanja ni mita 20 x 20.
nyumba hii imetumiwa miaka 2 na mwenyewe anahama mkoa
Nyumba inauzwa ,ipo kibaha kongowe
Ina chumba kimoja master.na sebule
Ukubwa wa kiwanja 25 kwa 25
Umbali km 2 toka morogoro road
Bei milioni 8,076*********