• mahali: kurasini • ukubwa: 5,000 sqm • kupelekwa kuona • malipo ya kamisheni ya dalali yatatozwa . yard ina: jengo la ofisi • umeme • kisima cha maji • uzio panafaa kwa: maegesho ya gari au mitambo • bandari kavu • shughuli nyinginezo za kiofisi . • visit our listing to find more and different properties. • if you can't get enough of our properties, send a request of your choice through our contacts
Kwa maitaji ya nguo aina zote kike na kiume pamoja na wallet/viatu aina zote/ saa / sandals / kofia nk. karibuni sana utajipatia mzigo wako kokote pale ulipo hsanteni
Sebule, chumba na choo ndani
luku yako
maji inategemea bill
parking ipo
200,000 kwa mwezi
mwezi mmoja ya dalali (negotiable)
nyumba iko maeneo ya meriwa secondary
Karibuni wapendwa uagize bidhaa nasi kwa bei za viwandani china ... join group letu la whatsapp karibuni sana bidhaa zilizopo kwenye order ni nyingi karibuni nitumie no yako nikuunge kweny group langu la agiza na lomina china
Shamba linauzwa la heka 10 likipakana na bonde lenye kuifazi maji kwa mda mrefu,chenye urefu mita 100 yenye maji safi ,nyumba ya vyumba viwili na mnara wa kuwekea tanki lita 10000 mawili. kwa mawasilano /
Viwanja vimepimwa vyote na vinauzwa katika manispaa ya Morogoro, vipo mkundi mwisho karibu na sheli mpya ya engine, ni mita 500 kutoka barabara kuu ya lami morogoro to Dodoma, kupelekwa bure na usafiri ni kwetu
>Ni imara na huleta muonekano mzuri wa chumba chako.
>Hukukinga zidi ya Mbu na wadu warukao na wanao tambaa nyakati za usiku.
>Karibu ujipatie yako na kwa rangi uipendao
>Rangi:- white, purple, pink, cream n.k