Kwanza kabisa tunapenda kukutarifu uwe mchapakazi mwaminifu usiwe na mambo mengi tuna ajiri vijana kuanzia umri 20 mpaka 45 hakuna maelekezo mengi ni kufika kazini hatutoi nauli bila utaratibu wowote jambo ambalo linaweza kumfanya mhusika asiwe mtu mwenye uwezo wa kufika