Hapa nakupa mchanganuo wa bei
Wa seti yako full ya dstv
King'amuzi nauza full set
KING'AMUZI full seti yani dishi, waya, miguu ya dishi, lnb, rimont vyote kwa 99,000
Kufungiwa dishi lako ni 25,000
Kuwekewa vifurushi ni elfu 25,000 jumla hadi una angalia nyumbani kwako
Unakuwa umetumia 149,000 tu
Delivery tunafanya agiza uletewe