Baiskeli ya watoto (Tricycle) inayofaa kwa watoto wa miaka 1–5. Imetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu, ina magurudumu matatu kwa usalama, kiti cha kustarehesha, kikapu cha mbele na sehemu ya kubebea vitu nyuma. Chaguo bora kwa mtoto kujifunza kuendesha kwa usalama na kufurahia mchezo.