•Unataka ngozi yako iwe laini na safi baada ya kuoga?
•Exfoliating Gloves zinakusaidia kuondoa seli za ngozi zilizokufa na kusafisha ngozi yako kwa urahisi. Tumia pamoja na sabuni yako ya kuogea, suuza vizuri na malizia kwa moisturizer.
•Jitunze, ipende ngozi yako na ongeza gloves hizi kwenye routine yako ya kuoga
Karibu sana Paltito Store
•We do fast delivery
•Sinza Kijiweni daresalam