Vitamin B, Vitamin C (Ascorbic Acid), Calcium, Aloe Vera
Active Ingredients
Tablets
Formulation
All
Gender
All
Age Group
Cranberry
Flavor
Chemical-Free, All Natural
Features
Before Meal
When to Take
Bottle
Package
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Kinondoni-Victoria
Open
• Mon - Sat, 06:00-20:00
Hii inaitwa forever bits and peaches ni kinywaji asilia kilichotengenezwa na mmea wa alovera, peach na matunda mengine ili kuifanya radha yake kuwa nzuri, faida ya supplement hii ni kama ifuatavyo -husaidia katika digestition system mwilini - huongeza hamu ya kula mara kwa mara(apetite) -hutibu maumivu ya tumbo -usafisha utumbo wa chakula -inakupa energy -husaidia katika mmeng'enyo wa chakula ni nzuri kwa watoto wadogo wanao sumbua kula, sababu hii juice ni tamu kwahiyo lazima waipende na kunywa kwao ndo kutafanya waongeze hamu ya kula lakini pia hii inafanya kazi hata kwa watu wazima pia ambao wanataka kuongeza weight ili kuwa na muonekano mzuri zaidi.