VitaSquare ni virutubisho kwa ajili ya watoto vilivyotengenezwa na vitamins na madini zaidi ya 18 muhimu katika kujenga msingi Imara wa lishe.(1) Virutubisho hivi vinasaidia ukuaji mzuri wa Afya ya akili na mwili.(2)Inaviambata vya choline na inositol kwa kuimarisha kumbukumbu na uwezo wa kujifunza wa mtoto.(3) Iviambata vya Tre en en grain(nafaka kamili)kwa ajili ya ukuaji,na Afya ya Cell ya mtoto.Vipo kama pipi vinatest ya yummy Berry Cirtrus vyenye ladha mzuri vinavyofuraihiwa na watoto