Vitamin E softgel
Vitamin E ni kirutubisho kinachofanya kazi kama antioxidant yaan inasaidia kulinda seli dhidi ya uharibifu
Kazi zake;
Inasaidia kulinda kinga ya mwili kwa kusaidia seli za kinga kufanya kazi vizuri
Inasaidia kulinda seli dhidi ya uharibifu kutokana na uwezo wake wa kuwa antioxidant
Inasaidia ngozi kuwa na unyevunyevu na muonekano mzuri
Inasaidia katika ukiaji na uimara wa nywele
Inasaidia kuimarisha afya ya kucha pamoja na kusaidia lishe ya tishu za mwili
Inasaidia kulinda seli za macho dhidi ya uharibifu
Inasaidia kuimarisha afya ya kishipa ya damu pamoja na afya ya moyo
Kopo moja lina supplement 100
Matumizi yake
Unatumia supplement 2 kwa siku