Vidonda vya tumbo viko vya aina tofauti kutokana na chanzo chake, forever imejitahidi kumakiza vyanzilishi vyake na vidonda vipone.
1. ACTIVE PRO B, vidonda vingi vinavyopimwa hukutwa ni h.pylori wakimaanisha imesababishwa na bacteria anayeitwa helico bacteria pylori, hawa huharibu kuta za utumbo kwa kuzuia mucus isitengenezwe, hivyo enzyme za kumeng'enya zikija zikikuta hakuna mlo huharibu utumbo, active pro b hukuongezea balance ya bacteria wanaoishi kwa kula h.pylori na kufanya kupungua kwa bacteria wabaya.
2. FIELD OF GREENS, hii ni mchanganyiko wa mboga na matunda zaidi ya 20 kukupa PH ya mwili kuwa alkaline zaidi kuliko acid, hupunguza acid na kuboresha mmeng'enyo.
3. ALOE VERA GEL, Huongeza ufyonzwaji wa virutubisho kwenye damu.
4. GARLIC THYME, ni vitunguu swaumu pamoja na viungo vya thyme kwa ajili ya kutibu vidonda.