Forever lite ultra inakurahisishia wewe unayefanya diet kufata mpangilio wako sahihi wa lishe yako, lishe hii ina virutubisho vyote mwili wako unavovihitaji kama utkw kwenye njia ya kupunguza uzito, itumie kama lishe mbadala either usiku usipate chochote uitumie hii tu au uitumie mchana na usiku ule kawaida, inakupa manufaa pia kwenye ngozi yako kama ni sensitive uwe na ngozi nzuri, inakupa afya ya mmeng'enyo