Tunza Ngozi Yako Imarisha Kinga Ya Mwili Ondoa Mafua Na Homa Kwa Vee C
Dar es Salaam, Kinondoni, 2 days ago
19 views
Tunza Ngozi Yako Imarisha Kinga Ya Mwili Ondoa Mafua Na Homa Kwa Vee C
+1
Edmark International
Brand
Immune System Boosters
Type
Multivitamin Complex, Collagen, Vitamin C
Active Ingredients
Tablets
Formulation
All
Gender
All
Age Group
Orange
Flavor
All Natural, Chemical-Free, Allergen-Free, Antibacterial
Features
Other
When to Take
Plastic Container
Package
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Msasani
NIPIGIE SIMU, NITUMIE SMS AU NITAFUTE WHATSAPP ILI TUWASILIANE KWA UKARIBU ZAIDI USIOGOPE KUNITAFUTA
Open
• Mon - Sun, 00:00-23:59
Faida za Vee C (Edmark):
1. Huimarisha kinga ya mwili – husaidia mwili kupambana na maradhi na maambukizi.
2. Ni antioxidant yenye nguvu – inalinda mwili dhidi ya uharibifu wa seli unaosababishwa na free radicals.
3. Huongeza uzalishaji wa collagen – hii ni muhimu kwa ngozi, mifupa, mishipa ya damu na meno kuwa imara.
4. Huipa ngozi mwonekano mzuri na kupunguza makunyanzi – ngozi inakua na afya na kung’aa.
5. Inasaidia afya ya moyo na mishipa ya damu – hupunguza hatari ya matatizo ya moyo.
6. Husaidia mwili kufyonza madini ya chuma – hivyo kupunguza hatari ya upungufu wa damu (anemia).
7. Hulinda afya ya fizi na meno.
8. Huongeza nguvu na kupunguza uchovu – mwili unapata uhai zaidi.
9. Hupunguza muda wa kupona kwa majeraha – kwa sababu ya collagen na kinga ya mwili.
Unaipata kwa 65,000