Ongeza nguvu unapokuwa mazoezini kwa kutumia forever thermo, ina natural caffeine, green tea pamoja na guarana kwa ajili ya kurahisisha swala la mazoezi kwako na kuongeza kasi ya metabolism mwilini, uwepo wa vitamin B kwa wingi huyeyusha protini, carbs pamoja na mafuta kwa wingi, ni nzuri sana kutumia na lengo la kupungua kwa kufanya mazoezi bila kuchoka mapema, karibu sana