FAIDA ZA ALOEVERA GEL JUICE . Inasaidia mwili wa binadamu kupambana na matatizo mabalimbali katika mwili Kuboresha mmengenyo wa chakula inasaidia kupunguza Acid Tumboni KUONDOA SUMU/TAKAMWILI zitokanazo na vyakula ,madawa ,Pombe ,Singara, nk Kurutubisha ngozi kwa kuondoa CELL zilizokufa na Kutengeneza mpya Msongo wa mawazo (Stress)nk Huimarisha mzunguko wa damu na kuondoa mafuta yasiyohitajika.kuongezea mwili nguvu na kinga zaidi Kusafisha utumbo mpana na kusaidia kupata choo vizuri. Ina Amino Acid zaidi ya 18 ambazo ambazo 7kati ya hizo ni muhimu sana katika ukuwaji wa chembe chembe za uhai katika mwili wa binadamu.