Hemorrhoid Tea
Hii chai nzuri sana inayosaidia kutibu bawasiri
Jinsi inavyofanya kazi
Inasaidia kuondoa uvimbe wa bawasiri
Inasaidia kuondoa miwasho
Inasaidia kuondoa maumivu wakati wa ku puu
Inasaidia kuzuia kuvuja kwa damu
Inasaidia kuondoa kabisa miziz ya bawasiri
Inasaidiakuondoa bawasiri za ndani na nje
Hii chair imetengenezwa na pure natural ingredient kama;chrysanthemum,adrograhis,licorice,na green tea
Jinsi ya kutumia
Unatakiwa kunywa pakti mbili kwa siku moja asubuhi nyingine jioni
Jinsi ya kuzuia bawasiri
Jitahidi kufanya mazoezi mara kwa mara
Jitahidi kunywa maji pia kula vyakula vyenye nyuzi nyuzi ambavyo havileti constipation
Husitumie nguvu nyingi wakati wa kujisaidia
Epuka kukaa sehemu moja kwa muda mrefu