Watu wengi sana wamekuwa wakisumbuka na njia mbali mbali lakini wamekuwa wakishindwa, wengine mazoezi sana ,wengine kujinyima kula lakini bado wakashindwa hivi hii ni kwanini ,katika asilimia 100 ya uzito wako asilimia 30 ni uchafu na taka mwili hivyo unahitaji kuusafisha mwili kwanza uondoe kilo za uchafu kisha upunguze kilo zingine kiurahisi,.
Karibu kwenye our FIT PROGRAM ambayo ni lishe itakayokuongoza vizuri katika program yako ya kupunguza uzito, utaondoa taka mwili na sumu mwilini kwanza, kisha itapunguza mafuta yaziada na yakuyabadilisha kuwa nguvu(energy) ambayo utaitumia kwenye mazoezi yako tutakayokuongoza nayo, sasa FIT PROGRAM ina hatua mbili ambazo ya kwanza ni c9 program ambapo utapunguza kilo 3 mpaka 9 kwa siku 9 alf kisha hatua inayofata ukiamua kupungua zaidi utapunguza mpaka kilo 18 kwa siku 15,
NB hizi ni nutritional supplements yani virutubisho vya chakula.