FAIDA ZA KUTUMIA ARGI +
1.Ni kirutubisho muhimu sana kutumika na kila siku kwa ajili ya kusaidia mifumo yote ya mwili ili kuupa mwili uwezo wa kufanya kazi vizuri
2.Inasaidia mfumo wa kinga mwili, kutokana na nitric oxide ambayo inatumiwa na chembechembe nyeupe za damu kuua bacteria.Hivyo kuupa mwili uwezo zaidi wa kupigana na magonjwa.
3.Inasaidia kurekebisha kiwango cha "blood pressure"kiwe sahihi na mzunguko wa damu moyo kiujumla.
4.Inasaidia kutengenezwa kwa mifupa na mwili kiujumla hivyo ni nzuri sana kwa tatizo la waliovunjika mifupa au wenye mifupa laini.
5.Nitric oxide inayotengenezwa inaongeza mzunguko wa damu mwili na ivyo usaidia kuongeza NGUVU ZA KIUME.
6.Inasaidia misuli kuwa imara na yenye nguvu, pamoja na kupunguza mafuta ndani ya mwili. Ndio maana ni nzuri sana kwa wanawake na wanaume wanaofanya mazoezi